0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

948. Riyadhu Swalihina Mlango wa kumtolea Sadaka maiti na kumuombea Dua

 باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ


وعَنْ عائِشَةَ رَضيَ اللَّهُ عَنْهَا أَنَّ رَجُلاً قَالَ للنَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إنَّ أُمِّي افتُلتَتْ نَفْسُهَا وَأُرَاهَا لَوْ تَكَلَّمَتْ، تَصَدَّقَتْ، فَهَل لهَا أَجْرٌ إنْ تصَدَّقْتُ عَنْهَا؟ قَالَ:“نَعَمْ “. متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA


Imepokewa na Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia kuwa mtu mmoja alimjia Mtume akamwuliza: “Mama yangu amefariki, na nadhani lau angelizungumza angeliamuru itolewe sadaka, je atapata ujira nikimtolea sadaka?” Akamjibu: “Ndio.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.