0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

940. Riyadhu Swalihina Mlango wa kinachosomwa katika Swala ya jeneza.

باب مَا يقرأ في صلاة الجنازة


وعن عبدِ اللَّه بنِ أبي أوْفى رضي اللَّه عنهما أَنَّهُ كبَّر عَلَى جَنَازَةِ ابْنَةٍ لَهُ أَرْبَعَ تَكْبِيراتٍ، فَقَامَ بَعْدَ الرَّابِعَةِ كَقَدْرِ مَا بَيْنَ التَّكْبيرتيْن يَسْتَغفِرُ لهَا وَيَدْعُو، ثُمَّ قَالَ: كَانَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَصْنَعُ هكذَا

وفي رواية: “كَبَّرَ أَرْبعاً فَمَكَثَ سَاعةً حتَّى ظَنَنْتُ أَنَّهُ سيُكَبِّرُ خَمْساً، ثُمَّ سلَّمَ عنْ يمِينهِ وَعَنْ شِمالِهِ، فَلَمَّا انْصَرَف قُلْنا لَهُ: مَا هَذَا؟ فَقَالَ: إنِّي لاَ أزيدُكُمْ عَلى مَا رَأَيْتُ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَصْنَعُ، أوْ: هكَذَا صَنعَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم.        رواه الحاكم وقال: حديث صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



157. MLANGO WA KINACHOSOMWA KATIKA SWALA YA JENEZA


Imepokewa na ‘Abdulla bin Abi Awfâ (Radhi za Allah ziwe juu yake) aliswalia jeneza la binti yake, akapiga Takbîr nne, akasimama baada ya Takbîr ya nne kitambo cha baina ya Takbîr mbili akimwombea istighfari na dua. Kisha akasema: “Mtume alikuwa akifanya hivi.”

Riwaya nyingine imesema: “Akabiga Takbîr ya nne, akatulia kitambo kirefu mpaka tukadhani kuwa atapiga Takbîr ya tano, kisha akatoa salamu kuliani na kushotoni mwake. Alipoondoka tulimwuliza: “Umefanya nini?” Akajibu: “Mimi siwazidishii zaidi ya nilivyomuona Mtume akifanya.” Au alisema: “Hivi ndivyo alivyofanya Mtume ”.   [ Imepokewa na Al-Hâkim na amesema: Hadîth hii ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.