0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

94. MLANGO WA KUMKIRIMU MGENI

باب إكرام الضيف


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿هَلْ أتَاكَ حَدِيثُ ضَيْفِ إبْرَاهِيمَ الْمُكْرَمِينَ إذْ دَخَلُوا عَلَيْهِ فَقَالُوا سَلاَمَاً قَالَ سَلاَمٌ قَوْمٌ مُنْكَرُونَ فَرَاغَ إِلَى أهْلِهِ فَجَاءَ بِعِجْلٍ سَمِينٍ فَقَرَّبَهُ إلَيْهِمْ قَالَ ألاَ تَأكُلُونَ﴾    [ الذاريات: 24-27 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَجَاءهُ قَوْمُهُ يُهْرَعُونَ إِلَيْهِ وَمِنْ قَبْلُ كَانُوا يَعْمَلُونَ السَّيِّئَاتِ قَالَ يَا قَوْمِ هَؤُلاَءِ بَنَاتِي هُنَّ أَطْهَرُ لَكُمْ فَاتَّقُوا اللهَ وَلاَ تُخْزُونِ في ضَيْفِي أَلَيْسَ مِنْكُمْ رَجُلٌ رَشِيدٌ﴾  [ هود: 78 ]


شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



94. MLANGO WA KUMKIRIMU MGENI


Mwenyezi Mungu anesema : “Je! Imekufikia hadithi ya wageni wa Ibrâhîm wanaohishimiwa? Walipoingia kwake wakasema: Salama! Na yeye akasema: Salama! Nyinyi ni watu nisiowajua. Akaenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliyenona. Akawakaribisha, akasema: Mbona hamuli?” [51:24-27].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Wakamjia kaumu yake mbio mbio. Na kabla ya haya walikuwa wakitenda maovu. Yeye akasema (Nabii Lut): Enyi watu wangu! Hawa binti zangu, ndio wametakasika zaidi kwenu. Basi mcheni Allâh, wala msinihizi mbele ya wageni wangu. Hivyo, hamna hata mtu mmoja miongoni mwenu aliyeongoka?” [11:78].


Begin typing your search above and press return to search.