October 28, 2024
0 Comments
باب استحباب تكثير المصلين عَلَى الجنازة وجعل صفوفهم ثلاثة فأكثر
وعن ابنِ عباسٍ رضي اللَّه عنهما قَالَ: سَمعْتُ رَسُول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُول: “مَا مِنْ رَجُلٍ مُسْلمٍ يَمُوتُ، فَيقومُ عَلَى جَنَازتِهِ أَرْبَعونَ رَجُلا لاَ يُشركُونَ باللَّه شَيئاً إِلاَّ شَفَّعَهُمْ اللَّهُ فيهِ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
156. MLANGO WA SUNNAH YA WANAOSWALIA JENEZA KUWA WENGI NA SAFU ZAO KUZIFANYA ZIWE TATU NA KUENDELEA
Imepokewa na Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Muislamu yeyote anayekufa, akaswaliwa jeneza yake na watu arubaini wasiomshirikisha Allâh kwa chochote, ni hakika Allâh Atawakubalia dua zao.” [ Imepokewa na Muslim. ]