0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

933. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya wanaoswalia Jenea kuwa wengi na safu zao kuzifanya zie tatu na kuendelea.

باب استحباب تكثير المصلين عَلَى الجنازة وجعل صفوفهم ثلاثة فأكثر


وعن ابنِ عباسٍ رضي اللَّه عنهما قَالَ: سَمعْتُ رَسُول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُول: “مَا مِنْ رَجُلٍ مُسْلمٍ يَمُوتُ، فَيقومُ عَلَى جَنَازتِهِ أَرْبَعونَ رَجُلا لاَ يُشركُونَ باللَّه شَيئاً إِلاَّ شَفَّعَهُمْ اللَّهُ فيهِ”    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



156. MLANGO WA SUNNAH YA WANAOSWALIA JENEZA KUWA WENGI NA SAFU ZAO KUZIFANYA ZIWE TATU NA KUENDELEA


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao)  amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Muislamu yeyote anayekufa, akaswaliwa jeneza yake na watu arubaini wasiomshirikisha Allâh kwa chochote, ni hakika Allâh Atawakubalia dua zao.”       [ Imepokelewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.