0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

930. Riyadhu Swalihina Mlango wa kumswalia maiti, kusindikiza janaza lake kuhudhuria mazishi yake na ukaraha wa wanawake kufwata Jeneza

باب الصلاة عَلَى الميت وتشييعه وحضور دفنه وكراهة اتباع النساء الجنائز


عن أَبي هُريرةَ رضيَ اللَّهُ وعنه أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنِ اتَّبعَ جَنَازَةَ مُسْلمٍ إيمَاناً واحْتِسَاباً، وَكَانَ مَعَهُ حَتَّى يُصَلَّي عَلَيها ويَفْرُغَ مِنْ دَفنِها، فَإِنَّهُ يَرْجعُ مِنَ الأَجرِ بقِيراطَين كُلُّ قيرَاط مِثلُ أُحُدٍ، ومَنْ صَلَّى عَلَيهَا، ثُمَّ رَجَعَ قَبْلَ أَن تُدْفَنَ، فَإِنَّهُ يرجعُ بقِيرَاط”       رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



155. MLANGO WA KUMSWALIA MAITI, KUSINDIKIZA JENEZA LAKE, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA UKARAHA WA WANAWAKE KUFWATA JENEZA


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume   amesema: “Atakayeliandama jeneza la Muislamu kwa kuamini na kutaraji ujira, akawa naye mpaka aswaliwe na amalize kuzikwa, hakika atarejea ana ujira wa Qirati mbili, kila Qirati ni mfano wa (jabali la) Uhud. Na atakayeliswalia kisha akarejea kabla hajazikwa, atarejea ana Qirati moja.”     [ Imepokewa na  Bukhari ]


Begin typing your search above and press return to search.