0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

93. MLANGO WA SUNNAH YA KWENDA KUSWALI, KATIKA KIKAO CHA ILIMU NA MFANO WAKE MIONGONI MWA IBADA NYINGINEZO KWA UTULIVU NA UMAKINI

باب الندب إِلَى إتيان الصلاة والعلم ونحوهما من العبادات بالسكينة والوقار


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَمَنْ يُعَظِّمْ شَعَائِرَ اللهِ فَإنَّهَا مِنْ تَقْوَى القُلُوبِ﴾ [ الحج: 32 ]


شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



93. MLANGO WA SUNNAH YA KWENDA KUSWALI, KATIKA KIKAO CHA ILIMU NA MFANO WAKE MIONGONI MWA IBADA NYINGINEZO KWA UTULIVU NA UMAKINI


Mwenyezi Mungu Amesema: : “Anayezihishimu alama za (Dini ya) Allâh, basi hilo ni jambo la katika utawa (ucha Mungu) wa nyoyo.” [22:32].


Begin typing your search above and press return to search.