December 31, 2024
0 Comments
باب ما يقال عند الميت وَمَا يقوله من مات له ميت
وعن أَبي هُريرةَ رضي اللَّهُ عنه أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “يقُولُ اللَّهُ تَعَالَى: مَا لعَبْدِي المؤْمِن عِنْدي جزَاءٌ إِذا قَبَضْتُ صَفيَّه مِنْ أَهْلِ الدُّنْيَا، ثُمَّ احْتَسَبهُ، إِلاَّ الجَنَّةَ “ رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
152. MLANGO WA YANAYOSEMWA KWA MAITI NA ANAYOSEMA MTU ALIEFIWA
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Mwenyezi Mungu Mtukufu Anasema: Mja Wangu Muumini hana jaza – nitakapomchukua mpenzi wake katika watu wa dunia kisha akatarajia thawabu – ispokuwa ni Pepo.” [ Imepokelewa na Bukhârî.]