0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

921. Riyadhu Swalihina Mlango wa yanayosemwa kwa Maiti na anayosema mtu aliefiwa

باب ما يقال عند الميت وَمَا يقوله من مات له ميت


عن أُمِّ سلَمَةَ رضي اللَّه وعنها قَالَتْ: سمعتُ رَسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: “مَا مِنْ عبدٍ تُصِيبُهُ مُصِيبَةٌ، فيقولُ: إِنَّا للَّهِ وَإِنَّا إِليهِ رَاجِعُونَ: اللَّهمَّ أُجِرْنِي في مُصِيبَتي، وَاخْلُف لِي خَيْراً مِنْهَا، إِلاَّ أَجَرَهُ اللَّهُ تعَالى في مُصِيبتِهِ وَأَخْلَف لَهُ خَيْراً مِنْهَا”. قالت: فَلَمَّا تُوُفِّيَ أَبُو سَلَمَة، قلتُ كَمَا أَمَرني رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَأَخْلَفَ اللَّهُ لِي خَيْراً منْهُ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم.      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



152. MLANGO WA YANAYOSEMWA KWA MAITI NA ANAYOSEMA MTU ALIEFIWA


Imepokewa na Ummu Salamah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Mja yeyote anaepatwa na msiba, akasema: Innâ lillâhi wa innâ ilaihi râji‘ûn, Allâhumma’jurnî fî musîbatî wakhluf lî khairamminhâ [Sisi ni wa Allâh na Kwake tutarejea, Ewe Mola Nipe ujira katika msiba wangu na Unibadilishie bora kuliko msiba huo_, basi kwa yakini Allâh Atamlipa katika msiba wake na Atambadilishia bora kuliko hilo (alilolikosa)].” Abû Salamah alipofariki, niliomba kama nilivyoamrishwa na Mtume . Allâh Akanibadilishia mbora kuliko yeye (Abû Salamah); naye ni Mtume .”     [ Imepokea na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.