0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

908. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Dua anayoombewa Mgonja.

[باب مَا يُدعى به للمريض]


وعن أَبي سعيد الخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه أَن جِبْرِيلَ أَتَى النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: يَا مُحَمدُ اشْتَكَيْتَ؟ قَالَ:“نَعَمْ”قَالَ: بِسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ، مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ، مِنْ شَرِّ كُلِّ نَفْسٍ أَوْ عيْنِ حَاسِدٍ، اللَّهُ يشْفِيك، بِسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



145. MLANGO WA DUA ANAYOOMBEWA MGONJWA


Imepokewwa na Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Jibrîl alimjia Mtume ﷺ, akamwuliza: “Ewe Muhammad, unaumwa?” Akajibu: “Ndio.” Akamsomea: “Bismillâhi arqîka, min kulli shai-in yu’dhîka, min sharri kulli nafsin au ‘aini hâsidin, Allahu yashfîka, Bismillâhi arqîka, [Nakuzingua kwa Jina la Allâh dhidi ya kila kitu kinachokuudhi, dhidi ya kila shari ya nafsi au jicho la hasidi, Allâh Akuponye, Kwa Jina la Allâh nakuzungua].”      [ Imepokelewa na Muslim ].

 


Begin typing your search above and press return to search.