0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

905. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Dua anayoombewa Mgonja.

[باب مَا يُدعى به للمريض]


وعن أَبي عبد اللَّهِ عثمانَ بنِ العَاصِ، رضي اللَّه عنه أَنه شَكا إِلى رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَجعاً يجِدُهُ في جَسدِهِ، فَقَالَ لَهُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “ضَعْ يَدَكَ عَلى الَّذِي يَأْلَمُ مِن جَسَدِكَ وَقلْ: بِسمِ اللَّهِ ثَلاثاً وَقُلْ سَبْعَ مَرَّاتٍ: أَعُوذُ بِعِزَّةِ اللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِن شَرِّ مَا أَجِدُ وَأُحاذِرُ”     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



145. MLANGO WA DUA ANAYOOMBEWA MGONJWA


Imepokewwa na Abû ‘Abdillah, ‘Uthmân bin Abî al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa alimlalamikia Mtume ﷺ maumivu aliyokuwa akiyahisi mwilini mwake. Mtume akamwambia: “Weka mkono wako mahala panapokuuma mwilini mwako; na useme: “Bismillâhi [Kwa Jina la Allâh_ – mara tatu – kisha useme mara saba: “A‘ûdhu bi‘izzatillâhi wa qudratihî min sharri mâ ajidu wa uhâdhir [Najilinda kwa Utukufu wa Allâh na Uwezo Wake dhidi ya shari ninayoihisi na ninayoitahadhari].”       [ Imepokelewa na Muslim ].

 


Begin typing your search above and press return to search.