[باب مَا يُدعى به للمريض]
وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه أَنه قَالَ لِثابِتٍ رحمه اللَّه: أَلا أَرْقِيكَ بِرُقْيَةِ رسولِ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم؟ قَالَ: بَلى. قَالَ:“اللَّهُمَّ رَبَّ النَّاسِ، مُذْهِبَ البَأسِ، اشْفِ أَنتَ الشَّافي، لاَ شَافِيَ إِلاَّ أَنْتَ، شِفاءً لاَ يُغادِر سَقَماً”. رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
145. MLANGO WA DUA ANAYOOMBEWA MGONJWA
Imepokewwa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) alimwambia Thâbit (Mungu amrahamu) : “Waonaje nikakuzungua kwa zinguo la Mtume ﷺ ?” Akamwambia: “Sawa.” Akamzungua: “Allâhumma rabbannâs, mudh-hibal-ba’s, ishfi antasshâfî lâ shâfiya illâ anta, shifâ-allâyughâdiru saqamâ. [Ewe Mola Mlezi wa watu, Mwenye kuondoa shida na maradhi, Ponya, Wewe Ndiwe Mponyaji, hakuna mponyaji ispokuwa ni Wewe, ponyo lisiloacha maradhi].” [ Imepokelewa na Bukhârî ].