0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

898. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kumtembela Mgonjwa.

[باب عيادة المريض]


وعن ثوبان رضي الله عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إنَّ المُسْلِمَ إِذَا عَادَ أخَاهُ المُسْلِمَ لَمْ يَزَلْ في خُرْفَةِ الْجَنَّةِ حَتَّى يَرْجِعَ”قِيلَ: يَا رَسولَ الله وَمَا خُرْفَةُ الجَنَّةِ؟ قَالَ:”جَنَاها “    رواه مسلم

“جَنَاها”: أي واجتني من الثمر


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



144. MLANGO WA KUMTEMBELEA MGONJWA, KUSINDIKIZA MAITI (JENEZA), KUMSWALIA, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA KUKETI KABURINI MWAKE BAADA YA KUMZIKA


Imepokewwa na Thawbân (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume  ﷺ amesema: “Muislamu anapomzuru nduguye Muislamu huwa yuko katika Khurfah ya Peponi mpaka atakaporejea.” Akaulizwa: “Yâ Rasûlallâh, ni nini Khurfah ya Peponi?” Akajibu: “Ni matunda yake.”    [ Imepokelewa na Bukhari ].

 


Begin typing your search above and press return to search.