September 10, 2024
0 Comments
[باب عيادة المريض]
وعن أَبي موسى رضي الله عنه قال: قالَ رسولُ اللهِ، صلى الله عليه وسلم: “عُودُوا المَرِيضَ، وَأَطْعِمُوا الجَائعَ، وفَكُّوا العَاني” رواه البخاري
العَاني: الأسِيرُ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
144. MLANGO WA KUMTEMBELEA MGONJWA, KUSINDIKIZA MAITI (JENEZA), KUMSWALIA, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA KUKETI KABURINI MWAKE BAADA YA KUMZIKA
Imepokewwa na Abû Mûsâ (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Wazuruni wagonjwa, mlisheni mwenye njaa na muwaache huru mateka.” [ Imepokelewa na Bukhari ].