0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

895. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kumtembela Mgonjwa.

[باب عيادة المريض]


وعن أبي هريرة رضي الله عنه أنَّ رسولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: ” حَقُّ الْمُسلِمِ عَلَى الْمُسلِمِ خَمْسٌ، رَدُّ السَّلام. وَعِيادَةُ المَريض، وَاتباعُ الجَنَائِزِ، وَإجَابَةُ الدَّعوة. وتَشْميتُ العَاطِسِ ”    متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



144. MLANGO WA KUMTEMBELEA MGONJWA, KUSINDIKIZA MAITI (JENEZA), KUMSWALIA, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA KUKETI KABURINI MWAKE BAADA YA KUMZIKA


Imepokewwa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Haki ya Muislamu juu ya Muislamu ni tano: kurudisha salamu, kumzuru mgonjwa, kufwata jeneza, kuitika mwaliko na kumwombea dua aliepiga chafya (aliechemua).”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].

 


Begin typing your search above and press return to search.