باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء
وعن أبي هُريرةَ رضي الله عنه قَالَ: قبَّل النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الحَسَنَ بْنَ عَليٍّ رضي الله عنهما، فَقَالَ، الأقْرَعُ بن حَابس: إنَّ لِي عَشَرةًَ مِنَ الْوَلَد ماَقَبَّلتُ مِنهُمْ أحَداَ. فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم.”مَنْ لاَيَرْحَمْ لا يُرْحَمْ، َ” متفق عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA
Imepokewwa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alimbusu al-Hasan bin ‘Ali (Radhi za Allah ziwe juu yao) , na al-Aqra’ bin Habis akasema: “Nina watoto kumi, wala sijawahi kumbusu hata mmoja katika wao.” Mtume ﷺ akamtazama na akasema: “Asierehemu naye hatarehemewa.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]