0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

89. MLANGO WA SUNNAH YA KUYABAINISHA MAZUNGUMZO NA KUMFAFANULIA ANAYEZUNGUMZIWA NA KUYAKARIRI ILI YAFAHAMIKE IWAPO HAYAWEZI KUFAHAMIKA ILA KWA NJIA HIYO

باب استحباب بيان الكلام وإيضاحه للمخاطب وتكريره ليفهم إذا لَمْ يفهم إِلا بذلك


عن أنسٍ – رضي الله عنه -: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – كَانَ إِذَا تَكَلَّمَ بِكَلِمَةً أعَادَهَا ثَلاَثاً حَتَّى تُفْهَمَ عَنْهُ، وَإِذَا أتَى عَلَى قَوْمٍ فَسَلَّمَ عَلَيْهِمْ سَلَّمَ عَلَيْهِمْ ثَلاثاً.     رواه البخاري


شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



89. MLANGO WA SUNNAH YA KUYABAINISHA MAZUNGUMZO NA KUMFAFANULIA ANAYEZUNGUMZIWA NA KUYAKARIRI ILI YAFAHAMIKE IWAPO HAYAWEZI KUFAHAMIKA ILA KWA NJIA HIYO


Imepokewa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza kuwa Mtume ﷺ alikuwa akizungumza neno hulikariri mara tatu mpaka lifahamike, na anapowaendea watu akawatolea salamu, huwatolea salamu mara tatu.” [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.