0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

889. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kupeana Mikono wakati wa kukutana, kuwa na uso wa bashasha, kubusu mkono wa mtu mwema……

باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء


وعن صَفْوان بن عَسَّال رضي الله عنه قَالَ: قَالَ يَهُودي لِصَاحبه اذْهب بِنَا إِلَى هَذَا النَّبيِّ فَأتَيَا رسولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَسَألاه عَنْ تسْع آياتٍ بَينات فَذَكرَ الْحَديث إِلَى قَوْله: فقَبَّلا يَدَهُ وَرِجْلَهُ وقالا:
نَشْهَدُ أنَّكَ نَبِيٌّ.      رواه الترمذي وغيره بأسانيد صحيحةٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA


Imepokewwa na Safwân bin ‘Assâl (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Yahudi mmoja alimwammbia mwenzie: “Twende kwa Nabii huyu.” Wakamjia Mtume ﷺ , wakamwuliza alama tisa zilizo wazi; akaeleza Hadîth mpaka akafika: “..wakambusu mkono wake na miguu yake, na wakamwambia: “Twashuhudia kuwa wewe ni Nabii.”   [ Imepolewa na Tirmidhy na wengineo kwa isnadi Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.