باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء
وعن البراءِ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَا مِنْ مُسْلِمْيِن يَلْتَقِيَانِ فَيَتَصافَحَانِ إِلاَّ غُفر لَهما قَبْلَ أنْ يَفْتَرِقَا” رواه أَبُو داود
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA
Imepokewwa na Al-Barâ bin ‘Âzib (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Mtume ﷺ amesema: “Waislamu wawili wanapokutana na wakapeana mikono, husamehewa kabla hawajaachana.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd.]