0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

882. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kumuombea Dua aliepiga chafya akamuhimidi Allah, ukaraha wa kumuombea Dua iwapo hakumuhimidi Allah……

باب استحباب تشميت العاطس إِذَا حمد الله تَعَالَى وكراهة تشميته إذا لَمْ يحمد الله تَعَالَى وبيان آداب التشميت والعطاس والتثاؤب


وعن أبي هريرةَ رضي الله عنه قَالَ: كَانَ رَسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إذَا عَطَسَ وَضَعَ يَدَهُ أوْ ثَوبَهُ عَلى فيهِ وَخَفَضَ أوْ غَضَّ بَها صَوْتَهُ. شك الراوي         رواه أَبُو داود، والترمذي وقال حديث حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



142. MLANGO WA SUNNAH YA KUMWOMBEA DUA ALIEPIGA CHAFYA AKAMHIMIDI ALLÂH, UKARAHA WA KUMWOMBEA DUA IWAPO HAKUMHIMIDI ALLÂH NA UBAINIFU WA ADABU ZA KUOMBEA DUA, KUPIGA CHAFYA NA KWENDA MWAYO


Imepokewa Abû Huraira  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa anapopiga chafya huuweka mkono wake au nguo yake juu ya kinywa chake na huinamisha sauti yake.”    [ Imepokewwa naTirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.