0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

881. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kumuombea Dua aliepiga chafya akamuhimidi Allah, ukaraha wa kumuombea Dua iwapo hakumuhimidi Allah……

باب استحباب تشميت العاطس إِذَا حمد الله تَعَالَى وكراهة تشميته إذا لَمْ يحمد الله تَعَالَى وبيان آداب التشميت والعطاس والتثاؤب


وعن أنس رضي الله عنه قَالَ: عَطَسَ رَجُلانِ عِنْدَ النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَشَمَّتَ أَحَدَهُمَا وَلَمْ يُشَمِّتِ الآخَرَ، فَقَالَ الَّذِي لَمْ يُشَمِّتْهُ: عَطَسَ فُلانٌ فَشَمَّتهُ وَعطستُ فَلَم تُشَمتني؟ فَقَالَ: “هَذَا حَمِدَ الله، وإنَك لَمْ تَحْمَدِ الله”.    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



142. MLANGO WA SUNNAH YA KUMWOMBEA DUA ALIEPIGA CHAFYA AKAMHIMIDI ALLÂH, UKARAHA WA KUMWOMBEA DUA IWAPO HAKUMHIMIDI ALLÂH NA UBAINIFU WA ADABU ZA KUOMBEA DUA, KUPIGA CHAFYA NA KWENDA MWAYO


Imepokewa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Watu wawili walipiga chafya mbele ya Mtume ﷺ (Mtume) akamwombea rehema mmoja wao na hakumuombea rehema yule mwingine. Yule ambaye hakuombewa rehema akasema: “Fulani amepiga chafya ukamuombea rehema, mimi nikapiga chafya wala hukuniombea rehema!” Mtume ﷺ akamwambia: “Huyu alimhimidi Allâh, na wewe hukumhimidi Allâh.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.