باب استحباب تشميت العاطس إِذَا حمد الله تَعَالَى وكراهة تشميته إذا لَمْ يحمد الله تَعَالَى وبيان آداب التشميت والعطاس والتثاؤب
وعن أَبي موسى رضي الله عنه قالَ: سَمِعتُ رَسُولَ اللهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ “إِذَا عَطَس أحدُكُم فَحَمِدَ اللهَ فَشَمِّتُوهُ، فإنْ لَمْ يَحْمَدِ الله فَلاَ تُشمتوه” رواه مسلم.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
142. MLANGO WA SUNNAH YA KUMWOMBEA DUA ALIEPIGA CHAFYA AKAMHIMIDI ALLÂH, UKARAHA WA KUMWOMBEA DUA IWAPO HAKUMHIMIDI ALLÂH NA UBAINIFU WA ADABU ZA KUOMBEA DUA, KUPIGA CHAFYA NA KWENDA MWAYO
Imepokewa Abû Mûsâ (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Atakapopiga chafya mmoja wenu na akamhimidi Allâh, mwombeeni rehema, asipomhimidi Allâh, msimwombee rehema.” [ Imepokelewa na Muslim ].