0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

879. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kumuombea Dua aliepiga chafya akamuhimidi Allah, ukaraha wa kumuombea Dua iwapo hakumuhimidi Allah……

باب استحباب تشميت العاطس إِذَا حمد الله تَعَالَى وكراهة تشميته إذا لَمْ يحمد الله تَعَالَى وبيان آداب التشميت والعطاس والتثاؤب


عن أَبي هريرة رضي الله عنه عن النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا عَطَسَ أحَدُكُمْ فَلْيَقُلْ: الحَمْدُ للهِ، وَلْيَقُلْ لَهُ أخُوهُ أَوْ صَاحِبُهُ: يَرْحَمُكَ الله، فإذَا قَالَ لَهُ: يَرْحَمُكَ اللهُ فَليَقُلْ: يَهْدِيكُمُ اللهُ وَيُصْلِحُ بالكم ”     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



142. MLANGO WA SUNNAH YA KUMWOMBEA DUA ALIEPIGA CHAFYA AKAMHIMIDI ALLÂH, UKARAHA WA KUMWOMBEA DUA IWAPO HAKUMHIMIDI ALLÂH NA UBAINIFU WA ADABU ZA KUOMBEA DUA, KUPIGA CHAFYA NA KWENDA MWAYO


Imepokewa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Atakapopiga chafya mmoja wenu aseme Alhamdulillâh, na nduguye (Muislamu) au sahibu yake amwambie; Yarhamukallâh (Allâh Akurehemu). Atakapomwambia Yarhamukallâh, naye amwambie: Yahdîkumullâh wayuslihu bâlakum (Allâh Awaongoze na Awatengezee mawazo yenu).”      [ Imepokelewa na Bukhari ].


Begin typing your search above and press return to search.