0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

876. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kubainisha kuwa Sunna mtu anapoulizwa ni “Nani wewe” ajibu “Mimi ni fulani”

باب بيان أنَّ السنة إِذَا قيل للمستأذن: من أنت؟ أن يقول: فلان فيسمي نفسه بما يعرف به من اسم أَوْ كنية وكراهة قوله”أنا”ونحوها


وعن أُمَّ هانئ رضي الله عنها قالت: أتيت النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَهُوَ يَغْتَسِلُ وفاطمةُ تسْتُرُهُ فقال: “مَنْ هذه،”فقلت: أنا أُم هَانئ.     متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



141. MLANGO WA KUBAINISHA KUWA SUNNAH NI MTU ANAPOULIZWA: “NI NANI WEWE?” AJIBU: “NI FULANI,” AJITAJE KWA JINA ANALOJULIKANA KWALO AU KWA LAKABU, NA MAKRUHU YA KUJIBU: “NI MIMI,” NA MFANO WAKE


Imepokewa na Ummu Hâni (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilimwendea Mtume ﷺ naye anaoga  na Fâtima anamsitiri, akauliza: “Ni nani huyu?” Nikamwambia: “Ni mimi Ummu Hâni.”                    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.