0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

875. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kubainisha kuwa Sunna mtu anapoulizwa ni “Nani wewe” ajibu “Mimi ni fulani” …….

باب بيان أنَّ السنة إِذَا قيل للمستأذن: من أنت؟ أن يقول: فلان فيسمي نفسه بما يعرف به من اسم أَوْ كنية وكراهة قوله”أنا”ونحوها


وعن أَبي ذرِ رضي الله عنه قَالَ: خَرجَتُ لَيْلة مِنَ اللَّيَالِي فَإذَا رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَمْشِي وحْدَهُ، فجَعلتُ أمْشِي فِي ظلِّ القمَر، فَالْتَفَتَ فَرَآنِي فَقَالَ: “مَنْ هذا؟ فقلت ُ أبو ذَرٍ،     متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



141. MLANGO WA KUBAINISHA KUWA SUNNAH NI MTU ANAPOULIZWA: “NI NANI WEWE?” AJIBU: “NI FULANI,” AJITAJE KWA JINA ANALOJULIKANA KWALO AU KWA LAKABU, NA MAKRUHU YA KUJIBU: “NI MIMI,” NA MFANO WAKE


Imepokewa na Abû Dharri (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilitoka katika usiku fulani, mara nikamuona Mtume ﷺ anatembea peke yake, nami nikawa natembea katika kivuli cha mwezi, akageuka na akaniona, akaniuliza: “Ni nani huyu?” Nikamjibu: “Ni Abû Dharri.”      [ Wameafikiana Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.