0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

873. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kubisha hodi na adabu zake

باب الاستئذان وآدابه


عن كِلْدَةَ بن الحَنْبل رضي الله عنه قَالَ: أتَيْتُ النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَدَخَلْتُ عَلَيْه وَلَمْ أُسَلِّم فَقَالَ النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “ارْجعْ فَقُلْ السَّلامُ عَلَيكُم أَأَدْخلُ؟ ”    رواه أَبُو داود، والترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



140. MLANGO WA KUBISHA HODI NA NIDHAMU ZAKE


Imepokewa na Kildah bin al-Hambal (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Nilimwendea Mtume nikaingia kwake wala sikutoa salamu. Mtume akaniambia: “Rudi na useme Assâlamu ‘Alaikum niingie?” [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.