0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

872. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kubisha hodi na adabu zake

باب الاستئذان وآدابه


وعن رِبْعِيِّ بن حِرَاشٍ قَالَ حدَّثّنا رَجُلٌ مِنْ بَنِي عَامرٍ أنَّهُ استأذَنَ عَلَى النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وهو في بيتٍ فَقَالَ: أألِج؟ فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لخادِمِهِ: “أُخْرُج إِلَى هَذَا فَعَلِّمْهُ الإستئذَانَ فَقُل لَهُ قُل: السَّلامُ عَلَيكُم، أأدْخُلُ؟ “فَسَمِعهُ الرَّجُلُ فَقَالَ: السَّلام عَلَيكم، أأدخُلُ؟ فَأذن لَهُ النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَدَخَلَ.   رواه أَبُو داود بإسناد صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



140. MLANGO WA KUBISHA HODI NA NIDHAMU ZAKE


Imepokewa na Rib‘iy bin Hirâsh amesimulia: “Mtu mmoja katika kabila la Banî ‘Âmir alituhadithia kuwa yeye alibisha hodi kwa Mtume ﷺ naye yuko nyumbani, akauliza: “Niingie?” Mtume akamwambia mtumishi wake: “Toka umwendee huyo aliebisha hodi umfundishe kupiga hodi, umwambie: sema: Assâlamu ‘alaikum, niingie?” Yule mtu akasikia, akasema: “Assâlamu ‘alaikum, niingie?” Mtume  akamruhusu, akaingia.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.