September 3, 2024
0 Comments
باب الاستئذان وآدابه
وعن سهلِ بنِ سعد رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم “إنَّمَا جُعِلَ الاستئذاُن منْ أَجْلِ البَصَر” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
140. MLANGO WA KUBISHA HODI NA NIDHAMU ZAKE
Imepokewa na Sahli bin Sa’d (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Kubisha hodi kumefanywa kwa ajili ya kuyazuia macho (yasije yakaona yasiotakiwa kuonekana).” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]