باب المحافظة عَلَى مَا اعتاده من الخير
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿إنَّ اللهَ لاَ يُغَيِّرُ مَا بِقَوْمٍ حَتَّى يُغَيِّرُوا مَا بِأنْفُسِهِمْ﴾ [ الرعد: 11 ]
وقال تَعَالَى: ﴿وَلاَ تَكُونُوا كَالَّتِي نقضت غَزْلَهَا مِنْ بَعْدِ قُوَّةٍ أنْكَاثاً﴾ [ النحل: 92 ]
وقال تَعَالَى: ﴿وَلاَ يَكُونُوا كَالَّذِينَ أُوتُوا الكِتَابَ مِنْ قَبْلُ فَطَالَ عَلَيْهِمُ الأَمَدُ فَقَسَتْ قُلُوبُهُمْ﴾ [ الحديد: 16 ]
وقال تَعَالَى: ﴿فَمَا رَعَوْهَا حَقَّ رِعَايَتِهَا﴾ [ الحديد: 27 ]
شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
87. MLANGO WA MAAMRISHO YA MTU KUFULIZA KUYATENDA MAMBO YA KHERI ALIYOYAZOWEA
Mwenyezi Mungu Amesema: “Hakika Allâh Habadili yaliyoko kwa watu mpaka wabadili wao yaliyomo nafsini mwao.” [13:11].
Mwenyezi Mungu Amesema: “Wala msiwe kama mwanamke anayeuzongoa uzi wake baada ya kwisha usokota ukawa mgumu.” [16:92].
Mwenyezi Mungu Amesema: “Wala msiwe kama mwanamke anayeuzongoa uzi wake baada ya kwisha usokota ukawa mgumu.” [16:92].
Mwenyezi Mungu Amesema: “..lakini hawakuufuata (huo uruhubani wao) kama inavyotakiwa kuufuata..” [57:27].