August 26, 2024
0 Comments
باب استحباب السلام إِذَا دخل بيته
وعن أنسٍ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ لي رَسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم “يابُنَّي، إِذَا دَخَلْتَ عَلى أهْلِكَ فَسَلِّمْ يَكُنْ بَركةً عَلَيْكَ وَعَلَى أهلِ بَيْتِكَ
رواه الترمذي وقال: حديث حسن صحيح
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
135. MLANGO WA SUNNAH YA MTU KUTOA SALAMU ANAPOINGIA NYUMBANI MWAKE
Imepokewa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ aliniambia: “Ee kijana, unapoingia kwa watu wa nyumbani mwako, toa salamu, itakuwa baraka kwako na kwa watu wa nyumbani mwako.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]