0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

860. Riyadhu Swalihina Mlango Wa adabu za kutoa salamu

باب استحباب إعادة السلام عَلَى من تكرَّر لقاؤه عَلَى قرب بأن دخل ثم خرج ثُمَّ دخل في الحال، أَو حال بينهما شجرة ونحوها


 عن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه عن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا لقيَ أَحَدَكُمْ أخَاهُ فَلْيُسَلِّمْ عَلَيْهِ، فَإنْ حالَتْ بَيْنَهُمَا شَجَرَةٌ أَوْ جِدَارٌ أوْ حَجَرٌ ثُمَّ لَقِيَهُ فَلْيُسَلِّمْ عَلَيْه”      رواه أَبُو داود.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



134. MLANGO WA SUNNAH YA KUIKARIRI SALAMU KWA ALIEKUTANA NAYE MARA NYINGINE KWA MDA MCHACHE KAMA VILE KUINGIA NA KUTOKA KISHA PALEPALE AKAINGIA TENA, AU WAKAZUIWA NA MTI BAINA YAO NA MFANO WAKE


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Mmoja wenu atakapokutana na nduguye amtolee salamu, iwapo watazuiwa na mti au ukuta au jiwe kisha akakutana naye, basi amsalimie.”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd.]


Begin typing your search above and press return to search.