0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

857. Riyadhu Swalihina Mlango Wa adabu za kutoa salamu

باب آداب السلام


عن أَبي هريرة رضي الله عنه أنَّ رسولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “يُسَلِّمُ الرَّاكبُ عَلَى الْمَاشِي، وَالْماشي عَلَي القَاعِدِ، والقليلُ عَلَى الكَثِيِرِ”    متفقٌ عليه

“وفي رواية البخاري: “والصغيرُ عَلَى الْكَبِيرِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



133. MLANGO WA ADABU ZA KUTOA SALAMU


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Aliyepanda (kipando) amsalimie anayetembea, anayetembea amsalimie aliyeketi na wachache wawasalimie walio wengi.”    [ Wameafikiana na Bukhari na Muislamu ].

Riwaya nyingine ya Bukhârî imesema: “…na mdogo amsalimie mkubwa.”


Begin typing your search above and press return to search.