0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

841. Riyadhu Swalihina Mlango Wa ndoto na yanayofungamana nayo

باب الرؤيا وَمَا يتعلق بها


وعن أَبي سعيد الخدريِّ رضي الله عنه أنَّه سمِع النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: “إِذَا رَأى أَحدُكُم رُؤْيَا يُحبُّهَا فَإنَّما هِيَ مِنَ اللهِ تَعَالَى فَليَحْمَدِ اللهَ عَلَيهَا وَلْيُحُدِّثْ بِها

وفي رواية: فَلا يُحَدِّثْ بَها إِلاَّ مَنْ يُحِبُّ وَإذا رَأَى غَيَر ذَلك مِمَّا يَكرَهُ فإنَّما هِيَ منَ الشَّيْطانِ فَليَسْتَعِذْ منْ شَرِّهَا وَلا يَذكْرها لأَحَدٍ فَإنَّهَا لا تضُُّره”    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



130. MLANGO WA NDOTO NA YANAYOFUNGAMANA NAYO


Imepokewa na Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia kuwa amemsikia Mtume ﷺ akisema: “Mmoja wenu atakapoona ndoto anayoipenda, basi ndoto hiyo inatoka kwa Allâh, basi amhimidi Allâh kwa kuiona, na aihadithie.”

Riwaya nyingine imesema: “..wala asimhadithie ila anaempenda, na akiona kinyume chake jambo analolichukia, basi ndoto hiyo yatokana na shetani, ajilinde kwa Allâh kutokana na shari yake (ndoto hiyo), wala asimzungumzie yeyote, hakika haitaweza kumdhuru.”      [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.