August 13, 2024
0 Comments
باب الرؤيا وَمَا يتعلق بها
وعن أبي هريرةَ رضي الله عنه قَالَ: سَمِعتُ رَسُولَ اللهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: “لَمْ يَبْقَ مِنَ النُبُوَّة إِلاَّ المبُشِّراتُ”قالوا: وَمَا المُبشِّراتُ؟ قَالَ:”الُّرؤْيَا الصَّالِحةُ ” رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
130. MLANGO WA NDOTO NA YANAYOFUNGAMANA NAYO
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Hakikubaki katika Utume ila bishara njema.” Maswahaba wakauliza: “Ni nini bishara njema?” Akajibu: “Ni ndoto nzuri.” [ Imepokewa na Bukhârî.]