August 13, 2024
0 Comments
باب في آداب المجلس والجليس
وعن ابي هريرة رضي الله عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَا جَلَسَ قَومٌ مَجْلِساً لَمْ يَذْكرُوا الله تَعَالَى فِيهِ ولَم يُصَُّلوا عَلَى نَبِيِّهم فِيهِ إلاَّ كانَ عَلَيّهمْ تِرةٌ، فإِنْ شاءَ عَذَّبَهُم، وإنْ شَاءَ غَفَرَ لَهُم” رواه الترمذي وقال حديث حسن
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: “Watu walioketi katika majilisi na wasimtaje Allâh ndani yake wala wasimswalie Mtume wao, majilisi hiyo itakuwa ni majuto. Allâh Akitaka Atawaadhibu na Akitaka Atawasamehe.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]