August 4, 2024
0 Comments
باب في آداب المجلس والجليس
وعن جابر بنِ سَمُرَةَ رضي اللَّه عنهما قَالَ: “كُنَّا إذَا أَتَيْنَا النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم جَلَسَ أَحَدُنَا حَيْثُ يَنْتَهي”. رواه أَبو داود. والترمذي وَقالَ: حديث حسن
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI
Imepokewa na Jâbir bin Samurah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Tulipokuwa tunapomwendea Mtume ﷺ , mmoja wetu akiketi pale anapokomea.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]