0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

824. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kujuzu (kufaa) kulala chali kwa kishogo na kuweka Mguu juu ya mwengine

باب جواز الاستلقاء عَلَى القفا ووضع إحدى الرِّجلين عَلَى الأخرى إِذَا لم يَخف انكشاف العورة وجواز القعود متربعاً ومحتبياً


وعنِ الشَّريد بن سُوَيْدٍ رضي الله عنه قَالَ: مَرَّ بي رسولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَأنا جَالس هكَذَا، وَقَدْ وَضَعتُ يَديِ اليُسْرَى خَلْفَ ظَهْرِي وَاتَّكأْتُ عَلَى إليْة يَدِي فَقَالَ: “أتقْعُدُ قِعْدةَ المَغضُوبِ عَلَيهْمْ؟! “.    رواه أبو داود بإسناد صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



128. MLANGO WA INAJUZU KULALA CHALI KWA KISHOGO NA KUUWEKA MGUU JUU YA MWENGINE ASIPOCHELEA KUFUNUKWA UCHI, NA KUFAA KUKETI MRABA NA KWA KUJIFUNGA NGUO


Imepokewa na Ash-Sharîd bin Suwaid (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume ﷺ alinipitia nami nimeketi hivi, nimeuweka mkono wangu wa kushoto nyuma ya mgongo wangu na nimeegemea juu ya ncha ya kidole gumba cha mkono wangu. Akaniambia: “Unaketi mkao wa walioghadhibikiwa (waliokasirikiwa)?”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.