0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

82. MLANGO WA MSISITIZO KWA MTAWALA, KADHI (HAKIMU) NA WENGINEO MIONGONI MWA WENYE MADARAKA WAJICHAGULIE WAZIRI (AU NAIBU) MWEMA, NA KUWAONYA MASAHIBU WABAYA NA KUWAKUBALIA WANAYOYATAKA

باب حث السلطان والقاضي وغيرهما من ولاة الأمور عَلَى اتخاذ وزير صالح وتحذيرهم من قرناء السوء والقبول منهم


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿الأَخِلاَّءُ يَوْمَئذٍ بَعْضُهُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ إِلاَّ المُتَّقِينَ﴾ [ الزخرف: 67 ]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



82. MLANGO WA MSISITIZO KWA MTAWALA, KADHI (HAKIMU) NA WENGINEO MIONGONI MWA WENYE MADARAKA WAJICHAGULIE WAZIRI (AU NAIBU) MWEMA, NA KUWAONYA MASAHIBU WABAYA NA KUWAKUBALIA WANAYOYATAKA


Mwenyezi Mungu Amesema : “Siku hiyo (ya Qiyama) marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipokuwa wachamngu.” [43:67].


Begin typing your search above and press return to search.