0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

819. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Adabu Za Kulala Kujinyosha, Kuketi Barazani Mtu Alieketi Naye Na Ndoto

باب آداب النَوم والاضْطِجَاع وَالقعُود والمَجلِس وَالجليس وَالرّؤيَا


وعن أَبي هريرة رضي الله عنه عن رَسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ قَعَدَ مَقْعَداً لَمْ يَذْكُرِ الله تَعَالَى فِيهِ كَانَتْ عَلَيِهِ مِنَ اللهِ تَعَالَى تِرةٌ، وَمَنِ اضْطَجَعَ مُضْطَجَعاً لاَيَذْكُرُ الله تَعَالَى فِيهِ كَانَتْ عَلْيِه مِن اللهِ تِرةٌ

رواه أَبُو داود بإسنادِ حسن

التِّرةُ”بكسر التاء المثناة من فوق, وَهِيَ: النقص, وقيل: التبعة


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



127. MLANGO WA ADABU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO


Imepokewa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yao) amepokea kutoka kwa Mtume  ﷺ amesema: “Atakayeketi kikao wala asimtaje Mwenyezi Mungu katika kikao hicho, kikao hicho kitakuwa kwake mbele ya Allâh ni upungufu (moto), na atakayelala wala asimtaje Allâh ndani yake, kutakuwa kwake mbele ya Allâh ni upungufu (moto).”    [ Imeokewa Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.