0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

818. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Adabu Za Kulala Kujinyosha, Kuketi Barazani Mtu Alieketi Naye Na Ndoto

باب آداب النَوم والاضْطِجَاع وَالقعُود والمَجلِس وَالجليس وَالرّؤيَا


عن يعيش بن طخفة الغفاري عن أبيه -رضى الله عنهما- قال: بينما أنا مضطجع في الْمسَجِدِ عَلَى بَطْنِي إذَا رَجُلٌ يُحَرِّكُنِي بِرِجْلهِ فَقَالَ “إنَّ هذِهِ ضَجْعَةٌ يُبْغِضُهَا اللهُ”قَالَ: فَنَظرْتُ، فإذَا رسولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم

رواه أَبُو داود بإسنادٍ صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



127. MLANGO WA ADABU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO


Imepokewa Ya‘îsh bin Tikhfah al-Ghifâry  (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema: “Baba yangu amesimulia: “Nilipokuwa nimelala ki-tumbotumbo Msikitini, mara akaja mtu akanitingisha kwa mguu wake, akaniambia: “Hakika namna hii ya kulala, Allâh Huichukia.” Nikamtazama, kumbe alikuwa ni Mtume ﷺ.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.