باب آداب النَوم والاضْطِجَاع وَالقعُود والمَجلِس وَالجليس وَالرّؤيَا
وعن حُذَيْفَةَ رضي اللَّه عنه قَالَ:: كَانَ النَّبيّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذَا أَخَذَ مَضْجَعَهُ مِنَ اللَّيْلِ وَضَعَ يَدهُ تَحْتَ خَدِّهِ، ثمَّ يَقُولُ: “اللَّهُمَّ بِاسْمِكَ أمُوتُ وَأَحْيَا” وَإِذَا اسْتيْقَظَ قَالَ: “الحَمْدُ للَّهِ اَلَّذي أَحْيَانَا بعْدَ مَا أَمَاتَنَا وإِلَيْهِ النُّشُورُ”. رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
127. MLANGO WA ADABU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO
Imepokewa Hudhaifah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa anapolala usiku huuweka mkono wake chini ya shavu lake na akisema: “Allâhumma Bismika amûtu wa ahyâ.” [Ewe Mola, kwa Jina Lako nalala na nitaamka].” Anapoamka husema: “Alhamdulillâhilladhî ahyâna ba’da mâ amâtanâ wa ilayhinnushûr [Namshukuru Allâh Alietuamsha baada ya kutulaza na Kwake ndio marejeo].” [ Imepokewa na Bukhari ]