0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

816. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Adabu Za Kulala Kujinyosha, Kuketi Barazani Mtu Alieketi Naye Na Ndoto

باب آداب النَوم والاضْطِجَاع وَالقعُود والمَجلِس وَالجليس وَالرّؤيَا


وعن عائشةَ رضيَ اللَّه عنها قالتْ: كَانَ النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَصلِّي مِن اللَّيْلِ إحْدَى عَشَرَةَ رَكْعَةً، فَإذا طلَع الْفَجْرُ صَلَّى ركْعَتيْنِ خَفِيفتيْنِ، ثمَّ اضْطَجَعَ عَلَى شِقِّهِ الأيمن حَتَّى يَجِيءَ المُؤَذِّنُ فيُوذِنَهُ،    متفقٌ عَلَيْهِ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



127. MLANGO WA ADABU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO


Imepokewa ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume  ﷺ alikuwa akiswali usiku rakaa kumi na moja. Inapotokeza alfajiri, huswali rakaa mbili khafifu, kisha huegemea kwa ubavu wake wa kulia mpaka aje mwenye kuadhini amjulishe.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.