0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

812. Riyadhu Swalihina Mlango Wa makatazo ya kutandika ngozi za Chui na kupanda juu yake

باب النهي عن افتراش جلود النمور والركوب عَلَيْهَا


وعن أَبي المليح عن أَبيهِ، رضيَ اللَّه عنه، أنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم نَهَى عنْ جُلُودِ السِّباعِ

رواهُ أَبُو دَاود، والترمذيُّ، والنسائيُّ بأَسَانِيد صِحَاحٍ

وفي روايةِ الترمذي: نهَى عنْ جُلُودِ السِّباعِ أنْ تُفْتَرَشَ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



124. MLANGO WA MAKATAZO YA KUTANDIKA NGOZI ZA CHUI NA KUPANDA JUU YAKE


Imepokewa Abul-Malîh amepokea kutoka kwa baba yake (Radhi za Allah ziwe juu yake) kuwa: “Mtume ﷺ amekataza (kutumia) ngozi za wanyama mwitu.”  [ Imepokea na Abû Dâwûd, Tirmidhy, na an-Nasâ-î. Wote wameipoka kwa isnadi Sahîh.]

Riwaya ya Tirmidhy imesema: “Amekataza kutandikwa ngozi za wanyama mwitu.”


Begin typing your search above and press return to search.