July 17, 2024
0 Comments
باب تحريم لباس الحرير عَلَى الرجال وتحريم جلوسهم عَلَيْهِ واستنادهم إِلَيْهِ وجواز لبسه للنساء
وعن حُذَيْفَة رضي اللَّه عنه قَالَ: نَهَانَا النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أنْ نَشْرب في آنِيةِ الذَّهب وَالفِضَّةِ، وَأنْ نَأْكُل فِيهَا، وعَنْ لُبْسِ الحَرِيرِ وَالدِّيبَاج وأنْ نَجْلِس عَلَيّهِ. رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
122. MLANGO WA UHARAMU WA KUVAA HARIRI KWA WANAUME NA UHARAMU WA WAO KUKETI JUU YAKE NA KUIEGEMEA, NA KUFAA KUVALIWA NA WANAWAKE
Imepokewa na Hudhaifa (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ ametukataza kunywa katika chombo cha dhahabu na fedha na kula humo, kuvaa hariri nyembamba na nzito na kuketi juu yake.” [ Imepokewa na Bukhari.]