0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

806. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kuvaa Hariri Kwa Wanaume Na Uharamu Wa Kuketi Juu Yake Na Kuegemea Na Kufaa Kuvaliwa Na Wanawake.

باب تحريم لباس الحرير عَلَى الرجال وتحريم جلوسهم عَلَيْهِ واستنادهم إِلَيْهِ وجواز لبسه للنساء


وعن أنس رضي اللَّه عنه قَالَ: قالَ رسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “منْ لَبِسَ الحَرِيرَ في الدُّنْيا لَمْ يَلْبسْهُ في الآخرَةِ” متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



122. MLANGO WA UHARAMU WA KUVAA HARIRI KWA WANAUME NA UHARAMU WA WAO KUKETI JUU YAKE NA KUIEGEMEA, NA KUFAA KUVALIWA NA WANAWAKE


Imepokewa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayevaa hariri duniani, hataivaa Akhira.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.