0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

805. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu wa kuvaa Hariri kwa wanaume na uharamu wa kuketi juu yake na Kuegemea na Kufaa kuvaliwa na Wanawake.

باب تحريم لباس الحرير عَلَى الرجال وتحريم جلوسهم عَلَيْهِ واستنادهم إِلَيْهِ وجواز لبسه للنساء


عن عمر بن الخطَّاب رضيَ اللَّه وعنه قَالَ: سمِعتُ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “إنَّما يلبَسُ الحريرَ منْ لاَ خَلاق لَهُ”    متفقٌ عَلَيْهِ

“وفي روايةٍ للبُخاريَ: “مَنْ لاَ خَلاَقَ لَهُ في الآخِرة

قولُهُ:”مَنْ لاَ خَلاَقَ لَهُ”، أَيْ: لاَ نَصيبَ لَهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



122. MLANGO WA UHARAMU WA KUVAA HARIRI KWA WANAUME NA UHARAMU WA WAO KUKETI JUU YAKE NA KUIEGEMEA, NA KUFAA KUVALIWA NA WANAWAKE


Imepokewa na ‘Umar bin al-Khattâb amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Hakika anayevaa hariri ni yule ambaye hana fungu (Siku ya Qiyama).”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]

Na katika Riwaya nyingine ya Bukhârî imesema: “..ambaye hana fungu Akhira.”


Begin typing your search above and press return to search.