0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

801. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sifa Ya Urefu Wa Kanzu, Mkono (Wa Kanzu Kikoi Na Ncha Ya Kilemba Na Uharamu Wa Kuburuta Sehemu Katika Mavazi…

باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء


 وعن ابنِ عمر رضيَ اللَّه عنهما قَالَ: قالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ جَرَّ ثَوبَه خيلاءَ لَمْ يَنْظُرِ اللَّه إِلَيْهِ يَوْمَ القيامِةِ”فقالَتْ أُمُّ سَلَمَةَ: فَكَيْفَ تَصْنَعُ النِّسَاءُ بِذُيُولِهنَّ، قالَ:”يُرْخينَ شِبْراً”. قَالَتْ: إِذن تَنكَشفُ أَقْدامُهنَّ. قَالَ:”فيُرْخِينَهُ ذِراعاً لاَ يَزِدْنَ”

رواهُ أَبو داود، والترمذي وَقالَ: حديث حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anayeburuta kikoi chake kwa kibri, Allâh Hatamtazama Siku ya Qiyama.” Ummu Salamah akauliza: “Wanawake watafanya vipi kwa ukingo wa mavazi yao?” Akamwambia: “Watateremsha kiasi cha shubiri.” Akasema: “Wakifanya hivyo miguu yao itaonekana.” Akasema: “Basi watateremsha kiasi cha dhiraa hawatazidisha.”  [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.