باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء
وعن ابنِ عمر رضيَ اللَّه عنهما قَالَ: مَرَرْتُ عَلى رسُولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَفي إِزاري اسْترْخَاءٌ. فَقَالَ: “يَا عَبْدَ اللَّهِ، ارْفَعْ إِزارَكَ “فَرفعتهُ ثُمَّ قَالَ:”زِدْ”، فَزِدْتُ، فَمَا زِلْتُ أَتَحرَّاها بَعْدُ. فَقَالَ بَعْض القُوْمِ: إِلى أَيْنَ؟ فَقَالَ: إِلى أَنْصاف السَّاقَيْنِ”. رواهُ مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI
Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Nilimpitia Mtume ﷺ na kikoi changu chaburutika. Akanimbia: “Ee ‘Abdullâh, pandisha kikoi chako.” Nikakipandisha, akaniambia: “Zidisha,” nikazidisha. Basi nikawa baada ya hapo nikikichunga. Baadhi ya watu wakauliza: “Mpaka wapi?” Akajibu: “Mpaka katikati ya miundi.” [ Immepokewa na Muslim.]