باب أمر وُلاة الأمور بالرفق برعاياهم ونصيحتهم والشفقة عليهم والنهي عن غشهم والتشديد عليهم وإهمال مصالحهم والغفلة عنهم وعن حوائجهم
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَاخْفِضْ جَنَاحَكَ لِمَنِ اتَّبَعَكَ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ﴾ [ الشعراء: 215 ]
وقال تَعَالَى: ﴿إنَّ اللهَ يَأمُرُ بِالْعَدْلِ وَالإِحْسَانِ وَإِيتَاءِ ذِي الْقُرْبَى وَيَنْهَى عَنِ الفَحْشَاءِ وَالْمُنْكَرِ وَالْبَغْيِ يَعظُكُمْ لَعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ﴾ [ النحل: 90 ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
78. MLANGO WA MAAMRISHO KWA WATAWALA KUWAFANYIA UPOLE RAIA ZAO, KUWANASIHI NA KUWAHURUMIA, NA MAKATAZO YA KUWAGHUSHI (KUWADANGANYA), KUWAKAZANIA, KUTOYASHUGHULIKIA MASLAHI YAO NA KUWASAHAU NA MATATIZO YAO
Mwenyezi Mungu Amesema: :“Na uinamishe bawa lako kwa yule anayekufuata katika wale walioamini.” [26:215].
Mwenyezi Mungu Amesema: “Hakika Allâh Anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa; na Anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. Anawapa mawaidha ili mpate kukumbuka.” [16:90].