0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

 763. Riyadhu Swalihina Mlango wa Makruhu ya kunywa katika mdomo wa kiriba na kadhalika… 

باب كراهة الشرب من فم القربة ونحوها وبيان أنه كراهة تنـزيه لا تحريم


وعن أم ثابتٍ كَبْشَةَ بنتِ ثابتٍ أُختِ حَسَّانَ بن ثابتٍ – رضي الله عنهما -، قالت: دخل عَلَيَّ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – فَشَرِبَ مِنْ فيِّ قِرْبَةٍ مُعَلَّقَةٍ قَائِماً، فَقُمْتُ إِلَى فِيهَا فَقَطَعْتُهُ.    رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Ummu Thâbit, Kabshah binti Thâbit (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ alikuja kwangu, akanywa katika mdomo wa kiriba kilichotundikwa akiwa amesimama, (alipomaliza kunywa) nikaenda nikaukata mdomo wa kiriba kile.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.